UDSM Selected Applicants 2026/2027 | Admissions



University of Dar es Salaam (UDSM) Selected Applicants 2026/2027
Admission, majina ya waliochaguliwa, selection status, confirmation, joining instructions na online application.
UDSM Admission 2026/2027
Wanafunzi wanapaswa kutumia akaunti ileile waliyotumia wakati wa maombi. Selection status, admission letter na confirmation huonekana kwenye mfumo rasmi wa UDSM.
Majina ya Waliochaguliwa UDSM
Angalia single selection kupitia UDSM portal na multiple selections kupitia TCU Public Notices. Awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu hutangazwa kupitia vyanzo rasmi.
Awamu ya Kwanza
Single selected applicants, admission status na portal login.
Single Selection / LoginMultiple Selection TCU
Awamu ya Pili
Angalia status mpya na admission letter ya akaunti yako.
Single Selection / LoginMultiple Selection TCU
Awamu ya Tatu
Selection ya awamu ya tatu na wale ambao hawakuthibitisha awamu ya kwanza.
Single Selection / LoginMultiple Selection TCU
Online Application kwa Waliokosa Nafasi
Kama hukuchaguliwa UDSM, hujaona admission offer, au umeikosa awamu iliyopita, fungua UDSM Online Admission System kuona kama dirisha jipya au programu zenye nafasi zimefunguliwa. Soma maelekezo, tengeneza account mpya inapohitajika, chagua programme na submit maombi kupitia mfumo rasmi.
Jinsi ya Kuangalia Selection Status
Jinsi ya Kuthibitisha Multiple Selection
Chagua chuo/programu moja, ingia kwenye akaunti ya chuo husika, weka confirmation code iliyotumwa kwako na submit confirmation. Ukipata changamoto, wasiliana na admission office ya UDSM au chuo husika.
Confirm kupitia UDSM PortalUDSM Joining Instructions 2026/2027
Fungua Directorate of Undergraduate Studies kwa nyaraka za freshers, programmes na joining instructions. PDF ya 2026/2027 itaonekana pale UDSM itakapoiweka.
Joining Instructions ServiceUDSM Freshers Medical Form
Medical form inapatikana kwenye ukurasa wa UDSM Directorate chini ya Services and Important Documents. Pakua fomu, fanya uchunguzi hospitalini na wasilisha wakati wa registration.
Open Medical FormUDSM HESLB Loan Status 2026/2027
Majina ya wanafunzi waliopata mkopo, loan application status na OLAMS login kwa wanafunzi wa University of Dar es Salaam.
Jinsi ya Kuangalia Loan Application Status
Majina ya Waliopata Mkopo 2026/2027
HESLB hutangaza taarifa za mikopo kupitia tovuti na mifumo rasmi. Tumia buttons hizi kuangalia matangazo mapya na kuingia kwenye akaunti yako ya OLAMS.
HESLB Support
Kwa changamoto za loan application, tumia mawasiliano yaliyo kwenye tovuti rasmi ya HESLB. Usimpe mtu password, PIN au OTP.