SUA Selected Applicants 2026/2027
Sokoine University of Agriculture (SUA) Selected Applicants 2026/2027
Admission, majina ya waliochaguliwa, selection status, confirmation, joining instructions, medical form, online application na HESLB loan status.
Majina ya Waliochaguliwa SUA 2026/2027
Single selection huangaliwa kwenye SUA portal. Multiple selection, waliodahiliwa zaidi ya chuo/programu moja na ambao hawakuthibitisha awamu ya kwanza huangaliwa kwenye TCU Public Notices.
Awamu ya Kwanza
Single selected applicant na login.
Single Selection / Student LoginMultiple Selection TCU
Awamu ya Pili
Selection mpya na admission letter.
Single Selection / Student LoginMultiple Selection TCU
Awamu ya Tatu
Awamu ya tatu na non-confirmed applicants.
Single Selection / Student LoginMultiple Selection TCU
Jinsi ya Kuangalia Selection
Jinsi ya Kuthibitisha Multiple Selection
Chagua SUA, ingia kwenye akaunti ya SUA, weka confirmation code iliyotumwa kwako na submit. Kwa changamoto tumia SUA Admissions Office au TCU notices.
Confirm kupitia SUA PortalOnline Application kwa Waliokosa Nafasi
Kama hukuchaguliwa, fungua SUA portal kuona dirisha jipya au programme zenye nafasi. Register/login, chagua programme, upload nyaraka na submit.
Joining Instructions 2026/2027 na Medical Form
SUA joining instructions zinaeleza reporting campus, registration, academic documents, fees na medical examination. Medical report inahitajika kwa admission/registration.
HESLB Loan Status 2026/2027
Angalia loan application status na majina ya waliopata mkopo kupitia HESLB OLAMS. Hii ni tofauti na SUA admission status.
SUA na TCU ndizo vyanzo vya mwisho kuhusu selection, confirmation, deadlines na admission decisions.