đ¯
Dira na Dhima ya JKT
Vision & Mission Statement
âŧ
Malengo ya Kimkakati
…
đī¸
Dira (Vision)
Kupitia mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa, hatimaye Tanzania iwe ni jamii yenye nidhamu, umoja, uzalendo, undugu, ukakamavu na kupenda kazi.
đ
Dhima (Mission)
Kuwalea vijana wa Tanzania, ili kuwajengea nidhamu, uzalendo, ukakamavu na kuwafundisha ujuzi hatimaye kuchangia katika ulinzi wa Taifa na maendeleo ya kiuchumi.
đ
Majina ya Waliochaguliwa JKT
Form Six Selection Lists
âŧ
Mujibu wa Sheria Selection Links
…
đ
Form Six Selection Releases
Download official PDF lists from JKT portal
âē
Vikosi na Makambi JKT
Kambi za Mafunzo nchini Kote
âŧ
Orodha ya Vikosi na Mikoa Vilipo
…
đĄī¸
Makao Mkuu ya JKT
Dodoma
đī¸
Bulombola JKT
Kigoma
đī¸
Rwamkoma JKT
Mara
đī¸
Msange JKT
Tabora
đī¸
Kanembwa JKT
Kibondo-Kigoma
đī¸
Mtabila JKT
Kasulu-Kigoma
đī¸
Mpwapwa JKT
Dodoma
đī¸
Kibiti JKT
Pwani
đī¸
Mgulani JKT
Dar es Salaam
đī¸
Ruvu JKT
Pwani
đī¸
Oljoro JKT
Arusha
đī¸
Makutupora JKT
Dodoma
đī¸
Mgambo JKT
Tanga
đī¸
Mbweni JKT
Dar es Salaam
đī¸
Chita JKT
Morogoro
đī¸
Maramba JKT
Tanga
đī¸
Makuyuni JKT
Arusha
đī¸
Mafinga JKT
Iringa
đī¸
Mlale JKT
Songea-Ruvuma
đī¸
Nachingwea JKT
Lindi
đī¸
Itende JKT
Mbeya
đī¸
Itaka JKT
Songwe
đī¸
Luwa JKT
Sumbawanga-Rukwa
đī¸
Milundikwa JKT
Sumbawanga-Rukwa
đī¸
Chuo cha Uongozi JKT
Kimbiji-Dar es Salaam
đĨ
Makundi na Masharti
Kujitolea na Mujibu wa Sheria
âŧ
Miongozo na Masharti ya Uandikishaji
…
đ¤
Vijana wa Kujitolea (Mkataba wa Miaka 2)
Masharti: Raia wa Tanzania, Umri miaka 18-23, elimu ya darasa la saba na kuendelea, asiwe ameoa/kuolewa, tabia njema, na utayari wa kufuata sheria zote za kijeshi bila utoro au makosa ya kinidhamu.
âī¸
Vijana wa Mujibu wa Sheria (Miezi 3)
Masharti: Raia wa Tanzania, Umri miaka 18-35, wahitimu wa kidato cha sita (Form Six) na kuendelea, tabia njema, na utayari wa kufuata nidhamu ya kijeshi kambini bila utoro.
đ
Utaratibu wa Kujiunga na Usaili
Jinsi ya Kuwasilisha Maombi
âŧ
Hatua za Usaili Mikoani na Wilayani
…
âšī¸
Uandikishaji Mikoani
JKT hutenga nafasi na kutuma barua kwa Wakuu wa Mikoa, ambao huzigawa kwenye Wilaya, Tarafa, Kata na Vijiji. Matangazo hubandikwa kwenye mbao za matangazo za wilaya na kutangazwa kwenye vyombo vya habari. Usaili wa awali husimamiwa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya na Mikoa, kabla ya kuhakikiwa na Maafisa kutoka Makao Makuu ya JKT.