TCU Tanzania Vyuo Vikuu na Vyuo vya Elimu ya Juu
Fungua tovuti rasmi za vyuo, admissions na student portals. Tumia TCU kuthibitisha taasisi na programu kabla ya kutuma maombi.
Maombi ya Chuo: Tumia Vyanzo Rasmi
Ukurasa huu ni directory ya kusaidia wanafunzi. Hatukusanyi passwords, application fees au taarifa binafsi. Kila button inapeleka kwenye tovuti ya taasisi au huduma rasmi.
Huduma Muhimu za Tanzania
TCU
Institution directory, accreditation na academic programmes.
Fungua TCUHESLB / OLAMS
Usajili na maombi ya mikopo ya elimu ya juu.
Fungua OLAMSRITA / eRITA
Huduma za vyeti vya kuzaliwa na matukio ya kiraia.
Fungua eRITANACTE / NACTVET
Central Admission System na huduma za TVET/AVN.
Fungua CASTCU Admission Guides 2026/2027
Secondary Qualifications
Guidebook kwa waombaji wenye sifa za sekondari.
Download GuidebookDiploma / Equivalent
Guidebook kwa waombaji wenye Ordinary Diploma au equivalent.
Download GuidebookAdmissions Almanac
Ratiba ya Bachelor admissions cycle ya 2026/2027.
Download AlmanacHatua 5 za Kuomba Chuo
Vyuo Vikuu Vilivyoidhinishwa na TCU
Hizi ni quick links za taasisi maarufu kutoka kwenye directory ya TCU. Tumia orodha kamili ya TCU kuona taasisi zote za sasa.
Taarifa za mwisho, deadlines, fees na application decisions hutolewa na taasisi husika. TCU, HESLB, RITA na NACTE/NACTVET ni huduma tofauti za serikali/taasisi rasmi.