Majina ya waliochaguliwa Kidato cha Tano (2026/2027)
Uteuzi wa kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2026/2027 unatarajiwa kutolewa na TAMISEMI. Hapa unaweza kupata miongozo na viungo rasmi vya kuangalia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule na vyuo.
- Tembelea tovuti rasmi ya TAMISEMI. - Tafuta sehemu iliyoandikwa "Waliochaguliwa Kidato cha Tano". - Chuja kulingana na Mkoa, Wilaya, na Shule uliyohitimu. - Pakua PDF, kisha tumia namba yako ya mtihani (Examination Number) kutafuta jina lako.